Friday 21 October 2016

Ruby Wale Wale



Verse 1
Shetwani anasura mbili
Nzuri na mbaya aaah
Atakupa unachotaka,
akutumie anavyotaka aaah wooh
Bridge
Na ukigundua aaah ameiba Kete
Atakuzingua aaah na akumalize
Kumbe ndani chui nje mamba
eti Mungu Mtu iiii
hook
Wale wale, wale waleeee * 3
Verse 2
Nimwamini nani binadamu sare, sare
Nimeshtuka yamenicheza machale, chale
Eti kubali uliwe hapa mjini shule,Shule
aku na ruka na mbawa kama kware
bridge
ooh Na ukigundua ameiba Kete
Atakuzingua aaah na akumalize
Kumbe ndani chui nje mamba
Mungu Mtu iiii
hook
Wale wale, wale waleee * 3
Uoga wangu umaskini wangu, Mola wangu lipi fungu Langu *2
Wale wale, wale waleee. eeeeeeh
Wale wale, wale waleee iiiii
Wale wale, wale waleeeee


No comments:

Post a Comment